Loading...

Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi

Loading...
Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi
link : Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi

soma pia


Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi

Profesa James K. Shaba anasikitika kutangaza kifo cha mke wake, Elizabeth E. Shaba, kilichotokea Chicago IL, Marekani. 
Marehemu, aliyekuwa na miaka 80 aliaga dunia Jumapili, tarehe 1 Julai, 2018 nyumbani kwake akiwa amezungukwa na watoto na wote waliompenda. 
 Marehemu alizaliwa Disemba 21, mwaka 1937 kijijini Mbokomu Moshi, Tanzania. Alikuwa ni mtoto wa tano kati ya watoto nane wa familia ya mzee Elisa Kileo Mrema na Anale Mhache Mrema. Habari hizi ziwafikie ndugu, jamaa na rafiki wote mahali popote walipo. 
Mazishi ya marehemu yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 7 Julai, 2018.

Anuani: Montclair-Lucania Funeral Home, 
6901 W. Belmont Ave 
Chicago IL, 60634
Muda ni saa 9 jioni, na kufuatiwa na sala saa 11 jioni. Wote mnakaribishwa.
Bwana alitoa, na Bwana ametwaa.
Jina la Bwana na lihimidiww
AMINA


Hivyo makala Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi

yaani makala yote Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tangazo-la-kifo-chicago-marekani-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi"

Post a Comment

Loading...