Loading...
title : TANGAZO LA MUHADHARA DMV Jumamosi Julai 14, 2018
link : TANGAZO LA MUHADHARA DMV Jumamosi Julai 14, 2018
TANGAZO LA MUHADHARA DMV Jumamosi Julai 14, 2018
Salaam Aleikum warahmatullah,
Kutakuwa na Muhadhara wa mawaidha ya Dini kutoka kwa Mashekhe wetu wa kutoka nyumbani, tunaombwa tuhudhurie na kuwajulisha wenzetu tupate kunufaika sote kutoka kwa Wahadhiri wetu:-
▪Sheikh Nurdin Kishki (Tanzania)
▪Sheikh Yusuf Abdi (Kenya)
▪Sheikh Ashraf Ndayisenga (Rwanda)
Address :-
Muslim Community Center (MCC)
15200 New Hampshire Ave,
Silver Spring, MD 20905
Kuanzia Saa Kumi Jioni hadi saa Nne usiku (4pm mpaka 10pm)
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:-
Ali Mohamed 301 500 9762
Shamis 202 509 1355
Hivyo makala TANGAZO LA MUHADHARA DMV Jumamosi Julai 14, 2018
yaani makala yote TANGAZO LA MUHADHARA DMV Jumamosi Julai 14, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANGAZO LA MUHADHARA DMV Jumamosi Julai 14, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tangazo-la-muhadhara-dmv-jumamosi-julai.html
0 Response to "TANGAZO LA MUHADHARA DMV Jumamosi Julai 14, 2018"
Post a Comment