Loading...
title : TANZIA: MSIBA WA BABA MZAZI WA MHE MAMA SALMA KIKWETE, MAZISHI IJUMAA SAA TISA MAKABURI YA KISUTU
link : TANZIA: MSIBA WA BABA MZAZI WA MHE MAMA SALMA KIKWETE, MAZISHI IJUMAA SAA TISA MAKABURI YA KISUTU
TANZIA: MSIBA WA BABA MZAZI WA MHE MAMA SALMA KIKWETE, MAZISHI IJUMAA SAA TISA MAKABURI YA KISUTU
KUMRADHI...
MABADILIKO KIDOGO YA RATIBA YA MUDA WA MAZISHI
Kwa niaba ya Familia ya Mama Salma Rashid-Kikwete na Dr. Jakaya Kikwete, naomba kutoa taarifa kuwa Mama Salma Rashid Kikwete amefiwa na Baba yake Mzazi Mzee Rashid Mkwachu.
Shughuli za Mazishi zitakuwa Msasani Nyumbani kwa Mama na Dr. Jakaya Kikwete. Mazishi yanatarajiwa kufanyika katika makaburi ya Kisutu leo Ijumaa Julai 20, 2018 Saa tisa kabla ya Swala ya Alasiri (sio saa kumi kama ilivyotangazwa awali).
Kwa niaba ya Familia
Ridhiwani Kikwete
Hivyo makala TANZIA: MSIBA WA BABA MZAZI WA MHE MAMA SALMA KIKWETE, MAZISHI IJUMAA SAA TISA MAKABURI YA KISUTU
yaani makala yote TANZIA: MSIBA WA BABA MZAZI WA MHE MAMA SALMA KIKWETE, MAZISHI IJUMAA SAA TISA MAKABURI YA KISUTU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MSIBA WA BABA MZAZI WA MHE MAMA SALMA KIKWETE, MAZISHI IJUMAA SAA TISA MAKABURI YA KISUTU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tanzia-msiba-wa-baba-mzazi-wa-mhe-mama.html
0 Response to "TANZIA: MSIBA WA BABA MZAZI WA MHE MAMA SALMA KIKWETE, MAZISHI IJUMAA SAA TISA MAKABURI YA KISUTU"
Post a Comment