Loading...
title : TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA
link : TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA
TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA
Majadiliano: Viongozi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakijadili jambo wakati wa maonyesho ya 42 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa, kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Habari cha NIC Mwanaidi Shemweta, Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Sam Kamanga,Elisante Maleko ambaye ni Mkurugenzi wa Masoko kulia anayezungumza ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Thomas Msongole
Vigogo wa NIC katika majadiliano:Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Sam Kamanga, Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa NIC Elisante Maleko, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Thomas Msongale na Mkurugenzi wa Bima ya Mali,Aajali na Shehena Romanus Hokororo,ni wakati wa maonyesho ya 42 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa.
Picha ya pamoja ya viongozi wa NIC na wafanyakazi baada ya kunyakua ushindi katika sekta ya Bima na ushindi wa pili katika maonyesho hayo miongoni mwa washiriki wote.
Hivyo makala TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA
yaani makala yote TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/taswira-ya-nic-maonyesho-ya-sabasaba.html
0 Response to "TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA"
Post a Comment