Loading...

TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50

Loading...
TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50
link : TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50

soma pia


TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa litaanza kulipa taratibu deni la takribani zaidi ya shilingi za Kitanzania, milioni 50 ambalo wanadaiwa na Kampuni ya Ulinzi (Kiwango Security).

Hatua hiyo imekuja kufuatia kampuni kuondoa walinzi wake wote kwenye ofisi hizo zilizopo mitaa ya Karume, Ilala, Dar es Salaam pamoja na kwenye makazi ya Rais wake, Wallace Karia.

Kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao, amesema watajitahidi kulipa deni la kampuni hiyo kwa taratibu za kiofisi ili walinzi hao waweze kurejea tena kuendelea na kazi kama mwanzo.

Kidao amekiri kweli wanadaiwa na hivyo itawapasa waanze kulilipa deni hilo taratibu mpaka watakapolikamilisha ili huduma iendelee.

Ikumbukwe siku kadhaa zilizopita, Mwenyekiti wa Uendeshaji katika kampuni hiyo, Sunday Marwa, alisema wameondoa wafanyakazi wao na hawatoweza kuwarudisha mpaka pale watakapolipwa fedha zao


Hivyo makala TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50

yaani makala yote TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tff-yaijibu-kampuni-ya-kiwango-security.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFF YAIJIBU KAMPUNI YA KIWANGO SECURITY JUU YA DENI LA MILIONI 50"

Post a Comment

Loading...