Loading...

TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Loading...
TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
link : TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

soma pia


TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA



Afisa Mwandamizi wa Uchambuzi wa Mifumo ya Biashara wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Mathias Chanila akimhudumia mwananchi aliyetembelea Banda la TRA katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Huduma kwa Mlipakodi ambaye pia ni Mratibu wa Maonyesho ya 42 ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba kwa upande wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Honester Ndunguru (kushoto) akiwaelezea Maafisa wa SIDO haki na wajibu wa Mlipakodi kama ilivyoainishwa katika Mkataba wa Huduma na Mlipakodi wakati walipotembelea Banda la TRA kwenye Maonyesho hayo yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa Elimu na Huduma kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Temeke Bw. Paul Maghembe akimhudumia mwananchi aliyetembelea Banda la TRA katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Temeke Bi. Jacqueline Fairom akimhudumia mwananchi aliyetembelea Banda la TRA katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO)


Hivyo makala TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

yaani makala yote TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tra-yajikita-zaidi-kuhudumia-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRA YAJIKITA ZAIDI KUHUDUMIA WANANCHI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA"

Post a Comment

Loading...