Loading...
title : Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wamuaga Mkurugenzi Mtendaji Ian Ferrao
link : Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wamuaga Mkurugenzi Mtendaji Ian Ferrao
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wamuaga Mkurugenzi Mtendaji Ian Ferrao
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiwapungia mikono wafanyakazi wa Kampuni hiyo ikiwa ni ishara ya kuwaaga wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiwashukuru wafanyakazi wa Kampuni hiyo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Ian Ferrao aliyemaliza muda wake (kulia) akikabidhi zawadi na Meneja Ruzuku wa Vodacom Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald kwa niaba ya wafanyakazi wa kitengo cha Corporate Affairs wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akivishwa shuka la kimasai ikiwa ni sehemu ya zawadi na mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni hiyo, wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiwa na mke wake baada ya kukabidhiwa zawadi za mila za kimasai na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiangalia zawadi alipokuwa akikabidhiwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wamuaga Mkurugenzi Mtendaji Ian Ferrao
yaani makala yote Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wamuaga Mkurugenzi Mtendaji Ian Ferrao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wamuaga Mkurugenzi Mtendaji Ian Ferrao mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wafanyakazi-wa-vodacom-tanzania-wamuaga.html
0 Response to "Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wamuaga Mkurugenzi Mtendaji Ian Ferrao"
Post a Comment