Loading...

WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO

Loading...
WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO
link : WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO

soma pia


WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO

Mke wa Waziri Mkuu Mhe. Mama Mary Majaliwa akimjulia hali mtoto aliyelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) aliyefanyiwa upasuaji wa kuziba matundu ya moyo katika kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Chain of Hope la nchini Uingereza. Mhe. Mama Majaliwa pamoja na wake wa viongozi wa kikundi cha Millennium Group walitembelea kambi hiyo leo na kuchangia shilingi milioni nne kwa ajili ya gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto wawili.
Mke wa Waziri Mkuu Mhe. Mama Mary Majaliwa akimsikiliza Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto Naiz Majani akimuelezea aina za upasuaji wa moyo kwa watoto zinazofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati alipotembelea kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto inayofanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Chain of Hope ya nchini Uingereza.
Mke wa Waziri Mkuu Mhe. Mama Mary Majaliwa akiwakabidhi hundi ya shilingi milioni nne wazazi wa watoto Anjela Francis (4) na Sabina Mnyango (4) fedha ambazo zimetolewa na kikundi cha wake wa viongozi cha New Millenium Group kwaajili ya kulipia gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto hao ambao wanatibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mhe. Mama Majaliwa pamoja na wake wa viongozi walipotembelea kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto inayofanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Chain of Hope ya nchini Uingereza.
Mke wa Waziri Mkuu Mhe. Mama Mary Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wake wa viongozi, wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wazazi wa watoto ambao kikundi cha wake wa viongozi cha New Millenium Group kimewachangia shilingi milioni nne kwa ajili ya gharama za upasuaji wa moyo. Mhe. Mama Majaliwa pamoja na wake wa viongozi walipotembelea kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto inayofanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Chain of Hope ya nchini Uingereza.
Wake wa viongozi wa kikundi cha New Millenium Group wakiongozwa na Mke wa Waziri Mkuu Mhe. Mama Mary Majaliwa wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kumaliza ziara yao ya kutemblelea kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto inayofanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Chain of Hope ya nchini Uingereza.


Hivyo makala WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO

yaani makala yote WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wake-wa-viongozi-wakiongozwa-na-mke-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKE WA VIONGOZI WAKIONGOZWA NA MKE WA WAZIRI MKUU MHE. MAMA MARY MAJALIWA WATEMBELEA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO"

Post a Comment

Loading...