Loading...

Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi

Loading...
Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi
link : Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi

soma pia


Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi

Kundi la wanakijiji limewaua karibu mamba 300 kwenye makao ya wamyama katika mkoa wa West Papua nchini Indonesia.
Mauaji hayo yalikuwa ni ya kulipiza kisasi kifo cha mwanamume mmoja ambaye aliuawa na mamba mmoja eneo hilo.
Maafisa na polisi wanasema kuwa hawakuweza kuzuia mauaji hayo lakini watafungua mashtaka dhidi ya waliohusika.
Kuuawa kwa wanyama wanaolindwa ni hatia na adhabu yake inaweza kuwa kifungo jela nchini Indonesia.
Mwanakijiji huyo aliuawa siku ya Ijumaa asubuhi wakati akitafuta mboga eneo la kuzalia mamba.
Mfanyakazi mmoja alisikia mtu akiitisha msaada na alipofika huko aliona mamba akimshambulia mtu.
Baada ya mazishi siku ya Jumapili, wanakijii mamia kadha wenye hasira walielekea eneo la makao ya wanyama wakiwa wamejihami kwa visu, chuma, nyundo na sururu.
Vyombo vya habari vinasema kuwa wanakijiji waliishambulia ofisi kwenye makao ya wanyama na kisha kuwachinja mamba wote 292.


Hivyo makala Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi

yaani makala yote Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wanakijiji-waua-karibu-mamba-300-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wanakijiji waua karibu mamba 300 nchini Indonesia kulipiza kisasi"

Post a Comment

Loading...