Loading...

WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL)

Loading...
WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL)
link : WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL)

soma pia


WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL)

 Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Global Education link jinsi ya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini na nje ya nchi mara baada ya kutembelea katika  banda la Global Education Link wakati wa maonesho ya vyuo vikuu yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam 
 Wananchi wakupata maelekezo katika banda la Global Education Link mara baada ya kutembelea katika maonesho ya vyuo vikuu yanayoendelea kufanyika jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Kampuni ya Global Education Link(GEL) ikiwa imehudhuria katika Maonesho ya 13 ya Vyuo Vikuu ya Elimu ya Juu Tanzania (TCU) yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wananchi wamiminika katika banda GEL kupata malezo jinsi ya kujisajili na vyuo vikuu.


Hivyo makala WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL)

yaani makala yote WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wananchi-wakipata-maelezo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WAKIPATA MAELEZO WALIPOTEMBELEA BANDA LA GLOBAL EDUCATION LINK(GEL)"

Post a Comment

Loading...