Loading...

WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA

Loading...
WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA
link : WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA

soma pia


WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.Seleman Jafo leo ameendelea na ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kuona maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa.


 Mhe. Jafo amewapongeza viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa Kituo cha afya cha Bahi na kuweza kukamilika kwa wakati na tayari kimeanza kutoa huduma kwa wananchi.



 Akiongelea kuhusu watumishi wa huduma ya afya walioajiriwa hivi karibuni amesema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi tayari imepata watumishi 39 ambao watatawanywa katika Halmashauri hiyo. 



 Amesema kutokana na Halmashauri ya Bahi kuwa naupungufu Mkubwa wa vituo vya afyaSerikali imeweza kujenga vituo vya afya vya Mundemu na Bahi ili kutoa huduma bora kwa wananchi, pia tayari Serikali imetenga shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kujenga Hospitali ya Wilaya.



 Mhe. Jafo amemuagiza wahudumu wa afya wote nchini kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi ili waweze kuvutiwa kuja kutibiwa kwenye vituo vya afya. "Nawaagiza Wasimamizi wote wa Vituo vya afya na Zahanati kuhakikisha wanatumia lugha nzuri kwa wagonjwa ili kuwavutia kuja kupata huduma za afya" Amesema Jafo



 Aidha amewataka wananchi kuhakikisha wanafuata ushauri unaotolewana na wataalam ili kuboresha afya zao.

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akizungumza na wananchi katika Kituo cha Afya Bahi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akikagua maeneo mbalimbali ya kutolea huduma kituo cha Afya Bahi.


Hivyo makala WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA

yaani makala yote WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-jafo-apongeza-kituo-cha-afya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI JAFO APONGEZA KITUO CHA AFYA BAHI KUKAMILISHA"

Post a Comment

Loading...