Loading...
title : WAZIRI MKUU AKERWA NA HALI YA UCHAFU COCO BEACH, ataka Mamlaka za Serikali za Mitaa husika zisimamie fukwe zote nchini
link : WAZIRI MKUU AKERWA NA HALI YA UCHAFU COCO BEACH, ataka Mamlaka za Serikali za Mitaa husika zisimamie fukwe zote nchini
WAZIRI MKUU AKERWA NA HALI YA UCHAFU COCO BEACH, ataka Mamlaka za Serikali za Mitaa husika zisimamie fukwe zote nchini
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya usafi Coco Beach hairidhishi na amewataka viongozi wa Manispaa ya Kinondoni wajipange ili eneo hilo liweze kuvutia.
Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Julai 25, 2018) wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kushiriki zoezi la usafi wa eneo hilo pamoja na wananchi na watendaji mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa ambayo hufanyika Julai 25, kila mwaka.
Waziri Mkuu ambaye aliambatana na mke wake, Mary Majaliwa, alishiriki zoezi hilo kwa kufyeka nyasi, kuzoa takataka na kupanda miti kwenye ufukwe huo.Zoezi hilo limefanyika kuanzia kwenye eneo la wafanyabiashara wa mihogo kuelekea Police Officers’ Mess.
“Eneo hili nimelitembelea, bado haliridhishi kwa usafi. Nimeenda kwenye fukwe pale na kukuta takataka nyingi zimelundikwa mahali pamoja. Ni vema Manispaa ya Kinondoni na Mamlaka zote zinazosimamia usafi ziwaratibu wanaotoa huduma na wanaopata huduma ili kuendeleza usafi wa maeneo haya nchini kote,” amesema.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakifyeka nyasi kwenye eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam wakati waliposhiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira katika eneo hilo , Julai 25, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiadhimisha Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi katika eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam Julai 25, 2018.
.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipeleka uchafu kwenye gari la takataka wakati waliposhiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira kwenye eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam Julai 25, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la Coco Beach baada ya kushiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira kwenye eneo hilo Julai 25, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happy.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la Coco Beach baada ya kushirika katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira katika eneo hilo Julai 25, 2018. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happy. Kwa habari kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala WAZIRI MKUU AKERWA NA HALI YA UCHAFU COCO BEACH, ataka Mamlaka za Serikali za Mitaa husika zisimamie fukwe zote nchini
yaani makala yote WAZIRI MKUU AKERWA NA HALI YA UCHAFU COCO BEACH, ataka Mamlaka za Serikali za Mitaa husika zisimamie fukwe zote nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AKERWA NA HALI YA UCHAFU COCO BEACH, ataka Mamlaka za Serikali za Mitaa husika zisimamie fukwe zote nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-akerwa-na-hali-ya-uchafu.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AKERWA NA HALI YA UCHAFU COCO BEACH, ataka Mamlaka za Serikali za Mitaa husika zisimamie fukwe zote nchini"
Post a Comment