Loading...
title : WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MV MWANZA
link : WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MV MWANZA
WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MV MWANZA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (mwenye suti katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (kulia) wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Songoro MarineTransport Ltd, Bw. Salehe Songoro mara baada ya kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha MV Mwanza kinachojengwa katika Ziwa Vitoria kwa ajili kutoa huduma katika kivuko cha Busisi - Kigongo mjini Mwanza.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (mwenye suti katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (kulia) wakitoka katika kivuko cha MV Mwanza kinachojengwa na Kampuni Songoro MarineTransport Ltd , kushoto mweny overall ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bw. Salehe Songoro mara baada ya kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha MV Mwanza kinachojengwa katika Ziwa Vitoria kwa ajili kutoa huduma katika kivuko cha Busisi - Kigongo mjini Mwanza.
Hivyo makala WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MV MWANZA
yaani makala yote WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MV MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MV MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-wa-ujenzi-akagua-ujenzi-wa.html
0 Response to "WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MV MWANZA"
Post a Comment