Loading...

WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO

Loading...
WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO
link : WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO

soma pia


WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MWANAMUZIKI nguli kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Werrason Ngiama Makanda, anatarajia kuwasili nchini kesho kwa ajili ya kufanya maonyesho tofauti katika mikoa ya Mwanza, Arusha na Dar es Salaam.

Mratibu wa ziara ya mwanamuziki huyo, Lengos VIP alisema kuwa mwanamuziki huyo nguli anawasili kesho saa 4 asabuhi kwa ajili ya maonesho hayo maalum yatakayofanyika sehemu tofauti nchini.

Alisema kuwa Mwanamuziki huyo ataanza onesho la kwanza mkoani Arusha siku ya Ijumaa ya Julai 6 na siku ya pili ya Julai 7, atakuwa mkoani Mwanza huku onyesho la mwisho litafanyika Mkoani Dar es Salaam.

Alisema mkoani Arusha Mwamuziki huyo atafanya onyesho kwenye ukumbi wa Mjengoni Club, wakati Mwanza atafanya mambo yake kwenye ukumbi wa Rock City na Mkoa wa Dar es Salaam Life Park uliopo Mwenge (zamani Word Cinema).

Werrason aliyeanzia katika bendi ya Wenge BCBG, miongoni mwa wanamuziki wa Congo wanaopata nafasi za kupata mwaliko wa kuja kutoa burudani hapa nchini, huku mratibu wa maonyesho hayo akiwataka mashabiki wajitokeze kupata burudani nzuri kutoka kwa nguli huyo.

Mwanamuziki huyo amekuwa akifanya ziara katika nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania na kufanya vizuri kwa mashabiki kukubali ujio wake.


Hivyo makala WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO

yaani makala yote WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/werrason-apata-mwaliko-kutua-dar-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO"

Post a Comment

Loading...