Loading...
title : WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
link : WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
Na .WAMJW-Tabora
Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto inatarajia kupeleka shilingi milioni 300 kwenye hospitali ya rufaa ya Mkoa ya Kitete kwa ajili ya kupanua wodi ya wazazi pamoja na ununuzi wa vifaa vya upasuaji kwa kumtoa mtoto tumboni Mkoani humo
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati alipotembelea hospitali hiyo ziara ya kikazi mkoani hapa.
"tutaleta fedha hizi kabla ya desemba mwaka huu ili kuhakikisha kila mwanamke mjamzito anajifungua salama na mtoto wake anakua salama pia"alisema Waziri Ummy.Aidha,aliwaagiza hospitali hiyo kununua vifaa vyote muhimu vinavyowezekana kuliko kusubiri wizara iwaletee'lazima mjiongeze na kuwa wabunifu muwe na vitu muhimu ili msonge mbele'alisisitiza
Hata hivyo aliwataka watumishi hao kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na miiko ya utumishi wa umma ili kuondoka malalamiko kwa wananchi wanaofika kupata huduma katika hospitali hiyo.
Picha jengo la upasuaji lililopo katika hospitali hiyo
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt.Gunini Kamba akimueleza Waziri wa Afya vifaa vilivyofungwa kwenye chumba cha upasuaji vilivyofungwa kwenye jengo la Upasuaji lililojengwa hospitalini hapo
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akimbeba mtoto mchanga aliyezaliwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete Mkoani Tabora
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt.Gunini Kamba akimueleza Waziri wa Afya vifaa vilivyofungwa kwenye chumba cha upasuaji vilivyofungwa kwenye jengo la Upasuaji lililojengwa hospitalini hapo
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akimbeba mtoto mchanga aliyezaliwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete Mkoani Tabora
Hivyo makala WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
yaani makala yote WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wizara-ya-afya-kupeleka-milioni-300.html
0 Response to "WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA"
Post a Comment