Loading...

ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA

Loading...
ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA
link : ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA

soma pia


ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA


MKUU wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Ally Hapi ameibua madudu yaliyokuwa katika serikali za mtaa na kuzipa ufumbuzi.

Hapi amebaini madudu hayo ikiwa ni siku ya pili toka aanze ziara yake ya kutembelea kata zote za wilaya ya Kinondoni kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Akiwa katika Kata ya Kinondoni Hapi ametembelea mradi wa ujenzi wa mtaro na Barabara ya Best Bite,kuweka jiwe la Msingi wa Ofisi ya Mtaa.

Katika hatua nyingine Dc Hapi alimuagiza mtendaji wa Mtaa wa Kata hiyo nPeter Mayanja kuambatana na askari kwenda katika ofisi za kata kuchukua barua ambayo awali Mtendaji huyo alisema inamfanya ashindwe kuleta gari la kubeba takataka kwenye Mtaa wake ambalo tatizo hilo limekua kero kubwa kwa wananchi.

“Askari mmoja namuagiza mara moja aende na mtendaji huyu kuniletea hiyo barua ambayo anadai imetoka kwa mkurugenzi na kumzuia kuleta gari la kuzoa takataka, na azilete kabla sijaondoka hapa haiwezekani kero ndogo kama hiyo ya takataka mkuu wa wilaya aifanyie kazi wakati kuna watendaji wanaoweza kutatua kwa haraka," amesema Hapi.

Baada ya muda barua umfikia Dc Hapi ilionyesha haimzuii yeye kuleta gari la kubeba takataka hizo na mtendaji huyo kuonekana kama mbabaishaji.Hivyo DC Hapi kuamuru awaombe radhi wananchi wake kwa kutowaletea gari hilo kwa wakati.“Nawaomba radhi wananchi wangu mimi nimekosa na sitarudia tena,” amesema Peter Mayanja.Aidha DC Hapi ameweza kutembelea kikundi cha vijana wanaojihusisha na ufundi wa kutengeneza bidhaa za vyuma maarufu kama “welding” ambacho amewapa shilingi laki tano kama kuwapa nguvu zaidi vijana hao kuboresha kazi zao.

Pia DC Hapi amemuagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Kinondoni kumkamata na kumuweka ndani saa 48 mmiliki wa kampuni ya Total West Solution kwa kile kinachodaiwa kukaidi agizo la DC Hapi.La kuwalipa kwa awamu tatu wafanyakazi wa kampuni hiyo stahiki zao baada ya kuachishwa kazi kwenye kampuni hiyo.

“OCD nahitaji umtafute na kumuweka ndani saa 48 mmiliki huyo wa kampuni na timu yangu ya wanasheria ifuatilie suala hilo la wananchi hawa kulipwa,” DC Hapi.Kero hiyo imetolewa mbele ya DC na mmoja wa wafanyakazi hao Rasuli Khamis Mkazi wa Kinondoni ambaye pia ni Kiongozi wa wafanyakazi hao waliofukuzwa kazi kwenye kampuni hiyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Ally Hapi akiwahutubia Wananchi wa Kinondoni wakati wa ziara yake hapo jana ya kutembelea kata zote za wilaya hiyo,kusikiliza na kutatua kero za Wananchi, Katika ziara hiyo Mh.Hapi alizisikiliza kero mbalimbali za Wananchi na kuzipatai ufumbuzi hapo hapo
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Ally Hapi akikagua miundo mbinu ya maji wakati wa ziara yake hapo jana ya kutembelea kata zote za wilaya hiyo,kusikiliza na kutatua kero za Wananchi, Katika ziara hiyo Mh.Hapi alizisikiliza kero mbalimbali za Wananchi na kuzipatai ufumbuzi hapo hapo.



Hivyo makala ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA

yaani makala yote ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ziara-ya-dc-hapi-kinondoni-yaibua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA DC HAPI KINONDONI YAIBUA MADUDU YALIYOPO SERIKALI ZA MITAA"

Post a Comment

Loading...