Loading...
title : AfDB YARIDHISHWA NA MIRADI YA NISHATI MIUNDOMBINU MIBOVU NA CHAKAVU KUONDOLEWA DODOMA
link : AfDB YARIDHISHWA NA MIRADI YA NISHATI MIUNDOMBINU MIBOVU NA CHAKAVU KUONDOLEWA DODOMA
AfDB YARIDHISHWA NA MIRADI YA NISHATI MIUNDOMBINU MIBOVU NA CHAKAVU KUONDOLEWA DODOMA
Yaahidi kuendelea kutoa ufadhili utakaohusisha uondoaji wa miundombinu mibovu ya umeme jijini Dodoma
Na Zuena Msuya, Dodoma
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Tanzania katika kuimarisha miundombinu ya umeme nchini hususan katika Mkoa wa Dodoma ili kuboresha upatikanaji wa huduma ya umeme kutokana na kuongezeka kwa shughuli za uwekezaji.
Uboreshaji wa hali ya umeme mkoani Dodoma unahusisha uondoaji wa miundombinu mibovu na chakavu zikiwepo takribani transifoma 75, kujenga njia ya kusafirisha umeme yenye urefu wa kilometa 135 kuzunguka Jiji, pamoja na kujenga vituo viwili vya kupokea na kupoza umeme katika eneo la Msalato na Kikombo vitakavyokuwa na uwezo wa kufua umeme wa takribani Megawati 200.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani alisema hayo katika kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Zuzu jijini Dodoma,wakati wa ziara ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Marekani, Steve Dowd, aliyekuwa akikagua utekelezaji wa baadhi ya miradi ya nishati ya umeme inayofadhiliwa na Benki hiyo katika mikoa mbalimbali nchini.

“Katika mazungumzo yangu na AfDB kabla ya kufanyika kwa ziara hii, pia wameonyesha nia ya kujenga kituo cha kuzalisha umeme wa Jua wa megawati 100 katika eneo la Zuzu jijini Dodoma katika kipindi cha miaka miwili ili umeme huo uingizwe katika Gridi ya taifa,” alisema Dkt Kalemani.
Akizungumzia miradi ya nishati, Dkt. Kalemani aliutaja mradi mkubwa wa umeme na wa kwanza nchini wa megawati 400 (National Backbone), kuwa ni miongoni mwa miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ikiwemo AfDB.

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika( AfDB) nchini Marekani,Steve Dowd(kulia), baada ya viongozi hao kufanya mazungumzo kuhusu miradi ya nishati inayofadhiliwa na AfDB katika ofisi ya Waziri wa Nishati jijini Dodoma.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika( AfDB) nchini Marekani, Steve Dowd (wa pili kulia), wakikagua kituo cha kusambaza umeme cha Zuzu jijini Dodoma, ikiwa ni moja ya miradi ya nishati inayofadhiliwa na AfDB kwa kushirikiana na Serikali.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Marekani,Steve Dowd (wa pili kulia), wakikagua kituo cha kusambaza umeme cha Zuzu jijini Dodoma.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika ( AfDB), watendaji wa Wizara ya Nishati, pamoja na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) baada ya kufanya ziara katika kituo cha kusambaza umeme cha Zuzu jijini Dodoma.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika( AfDB) nchini Marekani,Steve Dowd (wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja katika moja ya Transfoma zilizopo katika kituo cha kusambaza umeme cha Zuzu jijini Dodoma.

Hivyo makala AfDB YARIDHISHWA NA MIRADI YA NISHATI MIUNDOMBINU MIBOVU NA CHAKAVU KUONDOLEWA DODOMA
yaani makala yote AfDB YARIDHISHWA NA MIRADI YA NISHATI MIUNDOMBINU MIBOVU NA CHAKAVU KUONDOLEWA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AfDB YARIDHISHWA NA MIRADI YA NISHATI MIUNDOMBINU MIBOVU NA CHAKAVU KUONDOLEWA DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/afdb-yaridhishwa-na-miradi-ya-nishati.html
0 Response to "AfDB YARIDHISHWA NA MIRADI YA NISHATI MIUNDOMBINU MIBOVU NA CHAKAVU KUONDOLEWA DODOMA"
Post a Comment