Loading...

ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA

Loading...
ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA
link : ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA

soma pia


ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA

Jamii imetakiwa kufahamu kuwa Kamati za Mazingira katika ngazi zote zipo kwa mujibu wa Sheria, Sheria ya Mazingira kifungu Na. 38 (1-2) na Kamati hizo zina wajibu wa kusimamia mazingira kikamilifu yanayohusu maeneo yao.

Akizungumza na Watendaji wa Mkoa wa Tabora katika hafla ya kuzindua Kamati ya Usimamizi wa mazingira Mkoani hapo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba ameahidi kujenga uwezo kwa watendaji hao kwa kuwapatia mafunzo.

Aidha, Waziri Makamba amesisitiza unaziswaji kwa Kamati za Mazingira katika ngazi za vitongoji, vijiji na kata nchi nzima na kuahidi kutuma wataalamu kutoa mafunzo kwa kamati hizo ili ziweze kujua majumu yao ipasavyo na kusema kuwa shughuli za hifadhi za mazingira hazitafanikiwa kama Kamati za mazingira hazitatimiza majukumu yake katika ngazi hizo.

Waziri Makamba amesema kuwa dunia tunayoishi sasa tumeiazima kwa kizazi kinachokuja hivyo hatuna budi kuitunza. “Ukiazima kitu kwa mtu yeyote huna budi kukitunza na kukulinda ila kukirudisha kwa mwenyewe kikiwa katika hali nzuri.” Makamba alibainisha.

Katika wakati mwingine Waziri Makamba ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Tabora kuteua ama kuajiri Maafisa wa mazingira wa kutosha ili kusimamia kikamilifu uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira, pamoja na kuandaa mpango tekelezi wa mazingira katika ngazi ya Mkoa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akizungumza na mamia ya wakazi wa Mkoa wa Tabora (hawapo pichani) waliojitokeza katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kumsikiliza. Waziri Makamba amezindua Kamati ya Mazingira na kuwataka wananchi hao kuwa mstari wa mbele kusimamia masuala ya mazingira katika maeneo yao
Wakazi wa Kijiji cha Igambilo Kata ya Misha Mkoani Tabora waishio pembezoni mwa Bwala la Igombe wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (hayupo pichani) mara baada ya kutembelea Kijiji chao na kuzungumza nao umuhimu wa kuendelea kutunza Bwawa la Igombe. Waziri Makamba ameahidi kutoa mifuko 100 ya Saruji kuchangia ujenzi wa Zahanani Kijijii hapo.
Bwala la Igombe ambalo ni chanzo kikubwa cha maji kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora, shughuli zisizoendelelevu za kibinadamu zinapelekea kupungua kwa kina cha bwana hilo kila siku. Waziri mwenye dhamana ya Mazingira Mhe. January Makamba ametembelea eneo hilo na kuagiza wananchi wanaozuia maji kwa kutumia mabanio kuondolewa mara moja.


Hivyo makala ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA

yaani makala yote ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/anzisheni-kamati-za-mazingira-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ANZISHENI KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA NGAZI ZOTE - MAKAMBA"

Post a Comment

Loading...