Loading...
title : BREAKING NEWS, MTATIRO AITOSA CUF AJIUNGA NA CCM.
link : BREAKING NEWS, MTATIRO AITOSA CUF AJIUNGA NA CCM.
BREAKING NEWS, MTATIRO AITOSA CUF AJIUNGA NA CCM.
Mwambawahabari
Mimi sasa siyo mwanachama wa CUF tena nimejivua nyadhifa zangu zote, sasa naanza kutumia uwezo wangu wote Nitaanza kufanya siasa za vitendo kwa kumshauri Rais kujenga nchi yangu.
"Kuna vijana wadogo tu wamefanya mambo makubwa kwa kuwa wako katika majukwaa sahihi nimetafakali Sana nimeona ni achane na siasa za ubabaishaji siasa za ushabiki" Julius Mtatiro.
Amesema ameshamwandikia Katibu Mkuu wa chama cha Wananchi CUF, kuhusu msimo wakekuhusu kuachana na Chama hicho, na sasa amefanya maamuzi ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Hivyo makala BREAKING NEWS, MTATIRO AITOSA CUF AJIUNGA NA CCM.
yaani makala yote BREAKING NEWS, MTATIRO AITOSA CUF AJIUNGA NA CCM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS, MTATIRO AITOSA CUF AJIUNGA NA CCM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/breaking-news-mtatiro-aitosa-cuf.html
0 Response to "BREAKING NEWS, MTATIRO AITOSA CUF AJIUNGA NA CCM."
Post a Comment