Loading...

DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI

Loading...
DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI
link : DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI

soma pia


DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh. Jerry Muro amefanya zoezi la Ukaguzi wa malori 10 yaliyokuwa yakitokea Nchi Jirani Mara baada ya kuyatilia mashaka Kutokana na Malori hayo kudaiwa kutoka Mombasa na kupitia Njia ya Namanga tukio ambalo limeonekana sio la kawaida Kwa kupitia njia ndefu ya Mombasa kwenda Dar es salaam kupitia Namanga.

Dc Muro Akiwa katika Majukumu Yake Siku ya Jumapili Jioni alishangazwa na kitendo cha Malori hayo mapya kupita katika Wilaya yake kwa kutumia boda ya Namanga badala ya kupitia Tanga mida ya jioni yakiwa na chesses number ambazo alizitilia mashaka na kuwaagiza Maofisawa TRA kuyagua Ili kujiridhisha kwanza kutokana na kuwepo Kwa tetesi ZA baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu kutaka kuhujumu Bandari Za Tanzania na Kukimbilia Nchi Jirani kutokana na Bandari Za Tanzania kuwa na Udhibiti Mzuri wa Vitendo vya Magendo na Rushwa . Dc Muro Amesema katika Wilaya Anayoiongoza ya Arumeru Kamwe haitakuwa Uchochoro wa Kupitisha Bidhaa Haramu ZA Magendo kutoka Nchi Jirani.


Hivyo makala DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI

yaani makala yote DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dc-arumeru-afanya-ukaguzi-wa-ghafla-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC ARUMERU AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA WA MALORI KUTOKA NCHI JIRANI"

Post a Comment

Loading...