Loading...
title : DC MJEMA KAAGIZA KUMCHUNGUZA ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI BAADA YA WANANCHI KUMLALAMIKA KUHUSU PESA ALIZO CHANGISHA.
link : DC MJEMA KAAGIZA KUMCHUNGUZA ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI BAADA YA WANANCHI KUMLALAMIKA KUHUSU PESA ALIZO CHANGISHA.
DC MJEMA KAAGIZA KUMCHUNGUZA ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI BAADA YA WANANCHI KUMLALAMIKA KUHUSU PESA ALIZO CHANGISHA.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwasili kaika eneo la Kipunguni kuzungumza na kutatua kero za wananchi katika mwendelezo ya wa ziara yake ambayo leo imeingia siku ya pili,Upande wa kushoto ni Diwani wa kata ya Kipunguni Mohamed Msophe.Picha na Heri Shabani.
Na John Luhende
Mwamba wa habari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ameagiza taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Ilala kuchunguza uhalali wa wananchi kutozwa pesa za kurasimisha na kupewa hati za makazi katika kata ya Kipunguni baada ya kumweleza kuwa wametoa pesa na bado hawajapewa hati zao.
DC MJEMA ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara yake wilayani Ilala ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi, mara baada ya kuhoji pande pande zote wananchi na upande unaolalamikiwa ambapo Afisa Ardhi wa Maispaa ya Ilala amekana kutambutambua zoezi hilo.
Aidha agiza kufikishwa katika kamati ya nidhamu Mwalimu wa Shule ya msingi Kipunguni ambaye amelalamikiwa na wananchi kutoa lugha zisizo faa kwa wananchi na kuhamasisha wananchi kuandamana baada ya mzazi kufuatilia maendeleo ya mtoto wake anayesoma katikashuleni hapo.
Mjema pia amewataka wazee wa Kipunguni kujiandikisha ili waweze kupatiwa vitamburisho vya matibu, huku akiwahamasisha vijana na akina mama kujiunga katika vikundi ili waweze kupewa mikopo inayo tolewana Manispaa.
Katika hatua nyingine amewataka vijana na wananchi wa eneo hilo kujitokeza kuomba tenda za kufanya kazi ya kuzoa taka baada ya eneo hilo kukosa mkandarasi Jambo amabalo limechangia wananchi kukaa nataka kwa muda mrefu.
"Nimesikia malalamiko yenu kuhusu kutozwa pesa za ushuru kuzoataka bila kupewa risiti naomba muorodheshe majina yenu wote mliotozwa niwezekuchukua hatua" Amesema.
Kuhusu za barabara na usafiri ameameagiza SUMATRA na baadhi yawananchi kufanya naye kikao ili kuona namna ya kuwasaidia wananchi hao kushuka kwa nauli ambapo wamelalamikia kutozwa shilingi 500 na shilingi 1000 kwa safari ambazo ni fupi.
"Greda lipo tayari katika jimbo hili lina fanya kazi ya kuchonga barabara na hapa Kipunguni litakuja, nataka ni waambie Serikali ya awamu ya tano ni sikivu kerozenuzote tutazitatua" Amesema.
Hivyo makala DC MJEMA KAAGIZA KUMCHUNGUZA ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI BAADA YA WANANCHI KUMLALAMIKA KUHUSU PESA ALIZO CHANGISHA.
yaani makala yote DC MJEMA KAAGIZA KUMCHUNGUZA ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI BAADA YA WANANCHI KUMLALAMIKA KUHUSU PESA ALIZO CHANGISHA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA KAAGIZA KUMCHUNGUZA ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI BAADA YA WANANCHI KUMLALAMIKA KUHUSU PESA ALIZO CHANGISHA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dc-mjema-kaagiza-kumchunguza-aliyekuwa.html
0 Response to "DC MJEMA KAAGIZA KUMCHUNGUZA ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI BAADA YA WANANCHI KUMLALAMIKA KUHUSU PESA ALIZO CHANGISHA."
Post a Comment