Loading...

DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ

Loading...
DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ
link : DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ

soma pia


DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ

Waumini wa Dini ya Kislamu Wilayani Hai wamemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambae pia ni Mzaliwa wa Wilaya ya Hai Kwa Kitendo chake cha Kukubali kuufanyia Ukarabati Msikiti wa Lyamungo Sinde Kwa kuweka Mabati mapya yote ya Jengo la msikiti ,pamoja na kuweka Sealing Board ndani , na ukarabati Mwingine Mdogo

Akizungumza Kwa Niaba ya Viongozi wa Bakwata Wilaya ya Hai,Ramadhani Matinga ambae ni Mwenyekiti wa ZAWIA ya Lyamungo Sinde,amemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kujitolea kwake,katika kuhakikisha mambo ya kijamii yanakwenda sambamba na maendeleo.
 

 Mbali na Kumshukuru Mhe Muro Kwa kukubali Kubeba Jukumu la Kukarabati Msikiti huo,amebainisa kuwa hawajawai kumuona Kiongozi Mkuu wa Serikali Kuanzia ngazi ya Kijiji, kata, wilaya na Mkoa na Hata Mbunge Pamoja na Taifa ambae ameingia katika Msikiti huo Isipokuwa Dc Muro,aidha wamemhakikishia kumpa Ushirikiano pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Lengai Ole Sabaya Kutokana na Jitihada walizoonesha katika Kuwatumikia wananchi pasipo ubaguzi

Katika tukio Hilo Pia Mhe Muro alitoa Zawadi ya Mabox ya Tende Kwa Waumini wa Msikiti wa Lyamungo Sinde pamoja na kina mama wa Kware Wilaya ya Hai
DC Muro pichani kati akiwakaribisha badhi ya Waumini wa Msikiti wa Lyamungo Sinde kupata chakula kwa pamoja
DC Muro akikabidh zawadi ya Mabox ya Tende Kwa Waumini wa Msikiti wa Lyamungo Sinde pamoja na kina mama wa Kware Wilaya ya Hai.

DC Muro akishiriki sala pamoja na Waumini wa Msikiti wa Lyamungo Sinde


Hivyo makala DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ

yaani makala yote DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dc-muro-alivyojumuika-na-waislamu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MURO ALIVYOJUMUIKA NA WAISLAMU KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EID EL HAJJ"

Post a Comment

Loading...