Loading...

DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII

Loading...
DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII
link : DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII

soma pia


DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer jana walipokutana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer (katikati) pamoja na Viongozi wa pande mbili hizo walipokutana jana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na ujumbe wake walishiriki katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Mhe.Dkt.Ramadhan Kitwana Dau, pamoja na ujumbe wake wakitoka katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla.Picha na Ikulu


Hivyo makala DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII

yaani makala yote DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dkshein-akutana-na-mkurugenzi-kampuni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAMPUNI YA UTALIII"

Post a Comment

Loading...