Loading...
title : Dk.Shein akutana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar.
link : Dk.Shein akutana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar.
Dk.Shein akutana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake uliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya mwanzoni mwa mwaka huu,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake uliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya mwanzoni mwa mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 09/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake waliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya mwanzoni mwa mwaka katika Nchi hizo,[Picha na Ikulu.] 09/08/2018.
Hivyo makala Dk.Shein akutana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar.
yaani makala yote Dk.Shein akutana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dk.Shein akutana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dkshein-akutana-na-ujumbe-wa-uae-ikulu.html
0 Response to "Dk.Shein akutana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar."
Post a Comment