Loading...
title : Fei Toto aanza kwa pasi 50 Yanga
link : Fei Toto aanza kwa pasi 50 Yanga
Fei Toto aanza kwa pasi 50 Yanga
IKIWA ni mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kiungo mpya wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, juzi Alhamisi alipiga pasi 50 katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.
Kiungo huyo amejiunga na Yanga msimu huu kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea JKU ya Zanzibar.

Fei Toto
Katika mchezo huo ambao Fei Toto alianza kucheza namba kumi kabla ya Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kuumia ambapo alipotoka Fei Toto akashuka chini na kucheza nafasi ya kiungo mkabaji ambapo alifanikiwa kupiga pasi 25 tena akicheza kwa utulivu mkubwa.
Katika pasi hizo, 23 ndiyo zilifika kwa walengwa wakati pasi mbili zilipotelea njiani huku akipokonya mipira mara mbili tu kutokana na muda mwingi kutumia kukaba. Hiyo ni katika kipindi cha kwanza.
Katika kipindi cha pili, kiungo huyo alipiga tena pasi 25, akipoteza pasi tatu pekee na 22 zikifika kwa walengwa. Mbali ya pasi hizo alipokonya mipira mara tatu, akipiga shuti moja huku akicheza faulo mbili sawa na alizokuwa amechezewa.

Hivyo makala Fei Toto aanza kwa pasi 50 Yanga
yaani makala yote Fei Toto aanza kwa pasi 50 Yanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Fei Toto aanza kwa pasi 50 Yanga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/fei-toto-aanza-kwa-pasi-50-yanga.html
0 Response to "Fei Toto aanza kwa pasi 50 Yanga"
Post a Comment