Loading...
title : KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA LA MICHEZO
link : KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA LA MICHEZO
KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA LA MICHEZO

Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya EY Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Bonanza lao la Michezo, lililofanyika mwishoni kwa wiki kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM). Zaidi ya michezo kumi ilichezwa uwanjani hapo, Wafanyakazi hao walijigawa katika makundi matano kutokea kila kitengo na kutengeneza timu tano katika kila mchezo (Kilimanjaro, Tigers, Rockets, Eagles pamoja na Wolves), ambapo ushindi wa jumla ulinyakuliwa na Timu Kilimanjaro.
Mtendaji Mkuu Mwenza wa Kampuni ya EY Tanzania, Ukaguzi wa Hesabu (Audit Partner), Neema Kiure Mssusa akingumza wakati wa ufunguzi wa Bonanza la Michezo kwa Wafanyakazi wa Kampuni hiyo, lililofanyika mwishoni kwa wiki kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya EY Tanzania wakichuana vikali katika mchezo wa Soka wakati wa Bonanza lao la Michezo, lililofanyika mwishoni kwa wiki kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).
Hivyo makala KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA LA MICHEZO
yaani makala yote KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA LA MICHEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA LA MICHEZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/kampuni-ya-ey-tanzania-yawakutanisha.html
0 Response to "KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA LA MICHEZO"
Post a Comment