Loading...

KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

Loading...
KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
link : KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

soma pia


KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

SHIRIKA la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization (WMO)) ni taasisi mahsusi la Umoja wa Mataifa inayoshughulikia masuala ya ushirikiano wa kimataifa yanayohusiana na ufuatiliaji wa mifumo ya hali ya hewa na namna mifumo hii inavyoathiri mazingira yetu. 

Shirika hufanya kazi zake kupitia taasisi za hali ya hewa za nchi wanachama (National Meteorolgical and Hydrological Services - NMHSs) ambapo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ni mwakilishi rasmi wa shirika hili hapa nchini. 

Katibu Mkuu wa WMO amefanya ziara katika ofisi za TMA ili kujionea shughuli za hali ya hewa na namna ambavyo WMO inaweza kusaidia katika maeneo mbalimbali yahusuyo hali ya hewa ikiwa pamoja na mafunzo na vifaa vya hali ya hewa. Aidha aliipongeza TMA katika juhudi zake za utekelezaji wa programu za WMO na kuzisaidia nchi zingine za Afrika. 

Aliongeza kwa kusema kuwa TMA ni taasisi ya mfano Afrika katika utoaji wa huduma bora za hali ya hewa 
IMETOLEWA NA KITENGO CHA UHUSIANO 

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA .

   Katibu Mkuu wa WMO Prof Petteri Taalas akishuhudia na kushiriki mkutano wa kuandaa utabiri wa siku unaofuatilia hali mbaya ya hewa kwa nchi za Afrika mashariki zilizoko katika Bonde la Ziwa Victoria.
 Katibu Mkuu wa WMO Prof Petteri Taalas katika picha ya pamoja na menejimenti ya TMA.
 Katibu Mkuu wa WMO Prof Petteri Taalas akichangia jambo baada ya kupata maelezo ya mfumo wa kisasa utoaji taarifa za hali ya hewa kwa usafiri wa anga wakati alipotemebelea ofisi za hali ya hewa zilizopo katika Uwanja wa ndege wa Kiamataifa wa Julius Nyerere. hewa.


Hivyo makala KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

yaani makala yote KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/katibu-mkuu-wa-shirika-la-hali-ya-hewa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA"

Post a Comment

Loading...