Loading...
title : KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI
link : KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI
KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI
Mgombea Udiwani wa Kata ya Vingunguti Kupitia Chama cha Mapinduzi , Omary Kumbilamoto akizungumza na Wakazi wa Mtaa wa Butiama Vinguti wakati wa Mkutano wake wa Kampeni ya kuomba ridhaa kwa Wananchi wamchague kuwa Diwani wa kata hiyo.
Mgombea Udiwani wa Kata ya Vingunguti Kupitia Chama cha Mapinduzi , Omary Kumbilamoto akiwa amebebwa juu juu na Mkada wa Chama Chake wakati akiwa anawasili kwenye uwanja wa Butiama Vingunguti .
Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam akimwaga sera na jinsi Ilani ya CCM inavyotekelezwa katika Serikali hii ya awamu ya tano
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakichea kwa pamoja mtindo wa Mduara wakati wa mkutano wa Kampeni za Udiwani kata ya Vingunguti
Wakazi wa Mtaa wa Butiama waliohudhuria Mkutanowa wa kampeni za udiwani za Omary Kumbilamoto
Hivyo makala KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI
yaani makala yote KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/kumbilamoto-aendelea-na-mikutano-ya.html
0 Response to "KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI"
Post a Comment