Loading...

MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI

Loading...
MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI
link : MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI

soma pia


MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI


Mkoa wa  Rukwa umewasilisha Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Sh 1,547,461,590 ikiwa ni madeni ya walimu wa shule za msingi na sekondari kwa ajili ya hatua zaidi na malipo.
Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo wakati akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalumu yaliyofanyika mjini hapa hivi karibuni .
Mkoa unaendelea na jitihada za kulipa madeni ya walimu wa shule za msingi na sekondari ambapo mpaka sasa jumla ya Sh 164,197,400 zimelipwa ikiwa ni gharama za likizo, uhamisho, kujikimu, ajira mpya, wastaafu na motisha kwa walimu,” alisisitiza .
Kuhusu elimu msingi bila malipo, Wangabo alieleza kuwa mkoa umeendelea kupokea fedha ambapo Sh 7,567,337,903 zimepokelewa kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2017 hadi Juni 2018. 
Akifafanua alisema kuwa fedha zilizopokelewa ni kwa ajili ya ruzuku, ambayo ni fedha kwa ajili ya chakula, posho ya waratibu elimu kata, posho ya walimu wakuu na fi dia ya ada..


Hivyo makala MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI

yaani makala yote MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/madeni-ya-walimu-bilioni-i5.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADENI YA WALIMU BILIONI I.5 YAWASILISHWA TAMISEMI"

Post a Comment

Loading...