Loading...

MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA

Loading...
MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA
link : MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA

soma pia


MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA

NA TIGANYA VINCENT-
RS TABORA.
SERIKALI ya Wilaya ya Tabora imetoa siku 14 kwa Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ambao wamejilimbikizia viwanja vingi bila kuviendeleza kuvirudisha mara moja.

Agizo hilo limetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Kitwala kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo wakati akijitambulisha kwao.

Alisema uchunguzi alioufanya amegundua kuwa baadhi ya Madiwani wa Halmashauri hiyo wamekuwa na tabia kusimamia mambo yasiyo halali kama vile udalali wa viwanja, kulazimisha mikataba ya utekelezaji wa miradi wapewe wao au marafiki zao.

Kitwala alisema vitendo vya namna hiyo havisaidii kuiendeleza Halmashauri hiyo na wananchi wake badala yake vinawaumizi wanyonge ambao kodi zao zinatumiwa na baadhi ya watu kwa maslahi binafsi.

Aliongeza kuwa Madiwani na Watendaji wenye tabia za kuendekeza ubinafsi hawafai kuendelea na nafasi zao badala yake wanatakiwa kupitisha ili watu wenye nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi ndio wasimamie majukumu yao.

Aidha Mkuu huyo wa Wilaya alisema Manispaa ya Tabora ina uwezo wa kuwa na fedha nyingi kama Madiwani na Watendaji wakisimamia vizuri mianya ya ukwepaji kodi.

Wakati huo huo Kitwala alisema kuanzia hivi sasa ataanza kukagua miradi yote inajengwa na inayoendelea kujengwa ili kuona kama inavyo viwango vinavyostahili.

Alisema akikuta mradi katika eneo husika hauna kiwango atalazimika kumchukulia hatua mhusika ikiwemo kuwafikisha Mahakamani.

Kitwala alisema Serikali haiwezi kuvumilia fedha za wanyonge zinatumika vibaya kwa ajili ya maslahi binafsi.


Hivyo makala MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA

yaani makala yote MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/madiwani-tabora-wapewa-siku-14.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADIWANI TABORA WAPEWA SIKU 14 KURUDISHA VIWANJA WALIVYOJILIMBIKIZIA"

Post a Comment

Loading...