Loading...

MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA

Loading...
MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA
link : MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Elimu ya Juu , Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi muda mfupi kabla ya kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako tayari kwa safari ya kurudi Tanzania mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako tayari kwa safari ya kurudi Tanzania mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiaga Viongozi waliomsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako tayari kwa safari ya kurudi Tanzania mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/makamu-wa-rais-aondoka-namibia-kurejea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA"

Post a Comment

Loading...