Loading...

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA

Loading...
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA
link : MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA

soma pia


MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA

Pichani kulia Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali wakishirikiMkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018.Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
Sehemu ya Meza kuu wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Watu wa Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018.Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stregomena Tax akizongwa na wanahabari kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Edgar Lungu wa Zambia baada ya kumalizika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018. 
Rais Edgar Lungu wa Zambia, Rais Joseph Kabila wa DRC, Rais Dkt. Hage Geingob wa Namibia na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/makamu-wa-rais-ashiriki-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SIASA, ULINZI NA AMANI WA SADC NCHINI NAMIBIA"

Post a Comment

Loading...