Loading...

Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri

Loading...
Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri
link : Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri

soma pia


Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri

Waziri wa michezo wa Misri Ashraf Sobhy ametangaza kuruhusu mashabiki wa kandanda kuingia uwanjani katika michezo ya ligi ya nchini Misri
Ruksa hiyo ikiwa ni mara ya kwanza toka mwaka 2012.
Mashabiki wa kandanda walifungiwa kuingia uwanjani toka mwezi Februari 2012 baada ya mashabiki 74 wa Al Aly kufariki
Wapenda soka wataanza kuingia viwanjani kuanzia tarehe 1, ya mwezi ujao na Waziri huyo wa michezo amesema watazamaji hawatakiwi kuzidi 5000 katika kila mchezo.



Hivyo makala Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri

yaani makala yote Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mashabiki-wa-soka-kuanza-kuingia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri"

Post a Comment

Loading...