Loading...
title : MBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI AZUNGUMZIA TAMASHA LA YATIMA LITAKALOFANYIKA OKTOBA, 2018
link : MBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI AZUNGUMZIA TAMASHA LA YATIMA LITAKALOFANYIKA OKTOBA, 2018
MBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI AZUNGUMZIA TAMASHA LA YATIMA LITAKALOFANYIKA OKTOBA, 2018

Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Fondeshen ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10)Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Fondeshen ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10)Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Fondeshen ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10)Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanziba
Hivyo makala MBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI AZUNGUMZIA TAMASHA LA YATIMA LITAKALOFANYIKA OKTOBA, 2018
yaani makala yote MBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI AZUNGUMZIA TAMASHA LA YATIMA LITAKALOFANYIKA OKTOBA, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI AZUNGUMZIA TAMASHA LA YATIMA LITAKALOFANYIKA OKTOBA, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mbunge-jimbo-la-chumbuni-azungumzia.html
0 Response to "MBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI AZUNGUMZIA TAMASHA LA YATIMA LITAKALOFANYIKA OKTOBA, 2018"
Post a Comment