Loading...
title : Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana
link : Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana
Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana
Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation akiwa pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akishiriki pamoja na Wananchi wa Jimbo hilo kusoma dua ya kuwaombea wazee waliotangulia mbele ya haki katika Chakula cha mchana kilichotayarishwa na Taasisi hiyo kwa Watoto yatima na wenyemazingira magumu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villa Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation akiwa pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akijumuika na Watoto Mayatima na wenye mazingira magumu katika Chakula cha mchana kilichotayarishwa na Taasisi hiyo kwa Watoto yatima na wenyemazingira magumu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villa Zanzibar.
Muakulishi wa Jimbo la Chumbuni Miraji Khamis Mussa akijumuika na Watoto Mayatima na wenye mazingira magumu katika Chakula cha mchana kilichotayarishwa na Taasisi Pondeza Foundeshen katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana
yaani makala yote Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mbunge-na-mwakilishi-wa-jimbo-la_22.html
0 Response to "Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana"
Post a Comment