Loading...

MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI

Loading...
MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI
link : MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI

soma pia


MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

MSEMAJI wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakaluka amesema mbwa anayedaiwa kupotea hakuwa amepotea bali alikuwa katika mafunzo.

Amesema mbwa huyo alikuwa katika bwalo akiendelea na mafunzo na hivyo amewaomba Watanzania kufahamu hakuna mbwa aliyepotea.

Akizungumza na Michuzi Blog kwa njia ya simu leo jijini Dar es Salaam Mwakaluka amefafanua mbwa anayedaiwa kupotea yupo kwenye mikono salama ya Jeshi la Polisi na kwamba yupo kwenye mafunzo.

Amefafanua kuwa wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo Ndani alipokwenda bandarini hakumkuta mbwa hiyo hivyo baadhi ya waandishi wakadhano amepotea lakini ukweli ni kwamba alikuwa mafunzoni.

"Mbwa yupo kwenye mikono salama na yupo kwenye mafunzo,habari ya kwamba mbwa ameonekana Kenya si kweli," amefafanua.Alipoulizwa mbwa huyo alikuwa katika mafunzo ya aina gani,Mwakaluka amejibu hawezo kuelezea aina ya mafunzo ambayo amepewa kwani hayo ni mambo ya kitaaluma na ni kwa ajili ya Polisi.

Kuhusu cheo cha mbwa huyo amesema hana cheo bali ni mbwa mwenye mafunzo ya polisi na wameamua kutoa ufafanuzi huo ili umma ujue kuwa mbwa yupo na wala hajapotea.


Hivyo makala MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI

yaani makala yote MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mbwa-hajapotea-ila-alikuwa-mafunzoni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBWA HAJAPOTEA ILA ALIKUWA MAFUNZONI KATIKA BWALO LA POLISI-MSEMAJI JESHI LA POLISI"

Post a Comment

Loading...