Loading...

Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam

Loading...
Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam
link : Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam

soma pia


Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam

Na Jeshi la Polisi.
Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO)  imeendelea kupamba moto huku Tanzania ikiwa imepata medali ya dhahabu katika mbio za mita 5000,Fedha moja na Shaba tano katika mchezo wa Karate.
Mwanariadha Fabian Nelson ndiye aliyefungua pazia kwa kuipatia Tanzania medali ya dhahabu baada ya kuwapita wenzake kutoka Kenya ambao walipata medali za fedha na Shaba.

Matumaini makubwa kwa Tanzania yapo katika mchezo wa kulenga shabaha, Judo,  Mpira wa Miguu na Riadha kwa upande wa mbio ndefu ambapo wanariadha wanaoshiriki michezo hiyo wameonyesha kiwango kikubwa.
Nahodha wa timu ya kulenga Shabaha Tanzania Inspekta  Noel seng'ng'e, amesema mchezo huo umekuwa mzuri kwani wameweza kutoa wachezaji wengi wazuri katika kulenga shabaha na wanaimani ya kuibuka na ushindi wa jumla katika mchezo huo.
Kwa Upande wake Kocha wa Timu ya Mpira wa Miguu John Tamba amesema vijana wake wako vizuri na morali ipo juu hasa ukizingatia ushindi walioupata katika mchezo wa awali baada ya kuichapa Polisi Uganda mabao 2 kwa 1.
“Mchezo unaofuata tunacheza na Rwanda hivyo tumefanya mazoezi mepesi ili kuhakikisha kuwa tunaibuka na ushindi utakaotufanya tuendelee kuongoza katika mpira wa miguu na hatimaye kuchukua ubingwa” Alisema Tamba.
Hata hivyo nchi za Rwanda, Kenya  na Uganda nazo zimeonyesha ushindani mkubwa baada ya kunyakua ushindi katika Mchezo wa Karate na mbio fupi huku wakiendelea kuchukua alama katika mpira wa mikono, pete na Karate.
Michezo inayoshindaniwa mwaka huu ni pamoja na soka ,mpira wa mikono, mpira wa wavu, mpira wa pete, Ngumi, Taekwondo, Judo na Riadha ambapo inafanyika katika Uwanja wa Taifa kwa riadha na michezo mingine inafanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 Soka
 Volleyball
Karate


Hivyo makala Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam

yaani makala yote Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/michezo-ya-majeshi-ya-polisi-ukanda-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) yashika kasi jijini Dar es salaam"

Post a Comment

Loading...