Loading...

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.

Loading...
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.
link : Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.

soma pia


Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.

NAIBU Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akiwa na Mtoto Anisa Abdallah anayelelewa katika Nyumba ya Watoto Mazizini Zanzibar akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Fatma Gharib Bilal.
Mlezi Mkuu wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar Bi. Saida Ali Mohammed akitowa maelezo ya Watoto wanaoishi katika nyumba hiyo wakati wa hafla ya mkono wa Eid Al Hajj.
WATOTO wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed, akitowa salamo za Mkono wa Eid Al Hajj za Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika makaazi yao mazizini
NAIBU Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akitowa Mkono wa Eid Al Hajj kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar,akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
 NAIBU Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akitowa Mkono wa Eid Al Hajj kwa Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
NAIBU Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akimsalimia Mtoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar Zahir Abdllah wakati wa hafla ya kutowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Watoto hao katika makaazi yao mombasa Zanzibar .


Hivyo makala Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.

yaani makala yote Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mke-wa-rais-wa-zanzibar-mama-mwanamwema_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akitoa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini na Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar."

Post a Comment

Loading...