Loading...
title : MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.
link : MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.
MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.
Na. John Luhende
Mwamba wa habari
Jumla ya watoto 678,000 kutoka shule zamsingi za serikali na binafsi 708 mkoani Dar es salaam wanatarajiwa kupatiwa kinga dhidi ya magonjwa ya Kichocho na Minyoo ilikuwakinga na madhara ya saratani ya kibofu ambayo yanaweza kuwapata ukubwa ikiwa wataugua magonjwa hayo wakati wa utoto.
Akizungumza katika uzinduzi wa zoezi la utoajidawa kwa watoto hao Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema mkoa huo umejipanga kuhakikisha kila mtoto anapewa kingahiyo na kuwataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao katika vituo vya vyakutolea huduma hiyo ilikuwaepusha na madhara ya magonjwa hayo.
Aidha Makonda amewataka wananchi wa mkoa wa Dar es salaam kutoingiza masuala ya imani potofu khusu zoezi hilo kwani kinga hiyo itawasaidia watoto hao na taifa kwa kuwa na wananchi wenye afya badala ya kutumia gharamakubwa katika kutibu magonjwa ya saratani.
Kwa upande wake mganga mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Grace Magembe amesema zoezi hilo halihusishi kuchoma sindandano kamailivyo katika chanjo bali watoto watapewa kumeza vidonge na amewaka wananchi wa mkoa huo kushiriki kikamilifu zoezihilo huku akieleza madhara ya magonwa hayo.
Hivyo makala MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.
yaani makala yote MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mkoa-wa-dar-es-salaam-waanza-kutoa.html
0 Response to "MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO."
Post a Comment