Loading...
title : MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WAJASIRIAMALI
link : MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WAJASIRIAMALI
MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WAJASIRIAMALI
.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dk. Charles Kimei, akizungumza na wajasiriamali wa Sido, wakati wa semina yao, iliyofanyika Sido Mkoani, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja wa Sido Mkoa wa Dar es Salaam, MacDonald Maganga, Ofisa Mtendaja Mkuu wa Kampuni ya Mlako Purified Ice Cubes, Joseph Mlay (kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa benki hiyo, Jessica Makhuka.
Baadhi ya wanasemina wajasiriamali, wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dk. Charles Kimei, wakati alipowatembelea na kuzungumza nao katika mafunzo yao ya wiki moja, Sido Mkoani Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. .
Mwenyekiti wa semina ya wajasiraimali wa Sido, akitoa shukurani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dk. Charles Kimei.
Meneja wa Kampuni ya kutengeneza manukato na vipodozi ya efa, Obed Musiba (kulia), akimpatia maelezo Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dk. Charles Kimei (wa pili kulia), kuhusu chupa za vipodozi na manukato zinazotengenezwa na moja ya mashine zao kwenye kiwanda chao. Kushoto ni Meneja wa Sido Mkoa wa Dar es Salaam, MacDonald Maganga.
.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Sido Incubator Programme Star Natural Products, George Buchafwe (kulia), amkimpatia maelezo Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dk. Charles Kimei (katikati), kuhusu vipuri vya mashine za kutengenezea sabuni vinavyotengenezwa na kampuni yake katika Ofisi za Sido Mkoa wa Dar es Salaam, jijini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa benki hiyo, Jessica Makhuka.
Hivyo makala MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WAJASIRIAMALI
yaani makala yote MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WAJASIRIAMALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WAJASIRIAMALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mkurugenzi-mtendaji-crdb-bank-dk-kimei.html
0 Response to "MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WAJASIRIAMALI"
Post a Comment