Loading...
title : MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AAGIZA TAKUKURU KUICHUNGUZA KAMPUNI YA ARDHI PLAN
link : MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AAGIZA TAKUKURU KUICHUNGUZA KAMPUNI YA ARDHI PLAN
MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AAGIZA TAKUKURU KUICHUNGUZA KAMPUNI YA ARDHI PLAN
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemwagiza kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Mbinga kuchunguza malipo ya zaidi ya shilingi milioni 525 iliyolipwa kampuni ya ARDHI PLAN na kuzuia madai ya zaidi ya shiingi milioni 500 inayodai kampuni hiyo,kutokana na upimaji wa Ardhi usiozingatia kanuni ya matumizi bora ya Ardhi katika vijiji vya Halmashauri ya Mbinga. Ambapo kampuni hiyo ni ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashuri hiyo Gombo Samandito.
Hivyo makala MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AAGIZA TAKUKURU KUICHUNGUZA KAMPUNI YA ARDHI PLAN
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AAGIZA TAKUKURU KUICHUNGUZA KAMPUNI YA ARDHI PLAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AAGIZA TAKUKURU KUICHUNGUZA KAMPUNI YA ARDHI PLAN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mkuu-wa-mkoa-wa-ruvuma-christina-mndeme.html
0 Response to "MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AAGIZA TAKUKURU KUICHUNGUZA KAMPUNI YA ARDHI PLAN"
Post a Comment