Loading...

Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani!

Loading...
Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani! - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani!
link : Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani!

soma pia


Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani!

 Kampuni ya Multichoice inajivunia kuongeza chaneli mpya ya filamu inayojulikana kwa jina la Star Life mahususi kwa ajili ya wapenzi wa filamu na Tamthilia za kihindi.

Chaneli hii yenye maudhui ya kihindi inayorusha matangazo kwa Lugha ya kingereza imeanza rasmi kupatikana tarehe 27 Agosti 2018 chaneli namba DStv 167 iliyopo kuanzia kifurushi cha DStv Family.

Wateja wa DStv na watanzania wote kwa ujumla wataweza kufurahia filamu nzuri na za Kisasa za kihindi, Tamthilia na Series kali zenye kugusa hisia na tamaduni na maisha ya kihindi na vipindi vingine mbalimbali vya burudani kupitia chaneli hii vitakavyokuwa rushwa hewani kwa lugha ya kiingereza.

Kwa zaidi ya miaka 20 chaneli hii imekuwa ikipeperusha bendera kwa kuwa chaneli namba moja kutokana na ubora wa maudhui ya filamu na sinema zilizosheni ndani yake.

“Nyongeza ya chaneli hii ni matokeo ya kuhakikisha kuwa wateja wetu wanaendelea kufurahia huduma za DStv kwa burudani za kisasa kabisa ambazo hawatoweza kuzipata kwingine kokote. Chaneli hii itakuwa ikipatikana ndani ya DStv kupitia chaneli namba 167 kuanzia kifurushi cha Family 39,000.


Hivyo makala Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani!

yaani makala yote Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani! mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/moto-hauzimi-na-dstv-star-life-nyumba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani!"

Post a Comment

Loading...