Loading...
title : MTOTO WA JINSIA MBILI YA KIKE NA KIUME AZALIWA MULEBA MKOANI KAGERA
link : MTOTO WA JINSIA MBILI YA KIKE NA KIUME AZALIWA MULEBA MKOANI KAGERA
MTOTO WA JINSIA MBILI YA KIKE NA KIUME AZALIWA MULEBA MKOANI KAGERA
Na Dotto Mwaibale, Kagera
MTOTO wa Jinsia mbili ya kike na kiume amezaliwa katika Hospitali Teule ya Rubya iliyopo wilayani Muleba mkoani Kagera.
Kuzaliwa kwa mtoto huyo kumethibitishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt.Geore Kasibante (pichani), ambaye alisema hali ya mtoto huyo kuwa inaendelea vizuri na kuwa wakati wowote atapelekwa hospitali kubwa kwa ajili ya uchunguzi ili afanyiwe upasuaji kwa vile katika hospila hiyo hawana madaktari bingwa wa kuweza kufanya upasuaji huo.
Hivyo makala MTOTO WA JINSIA MBILI YA KIKE NA KIUME AZALIWA MULEBA MKOANI KAGERA
yaani makala yote MTOTO WA JINSIA MBILI YA KIKE NA KIUME AZALIWA MULEBA MKOANI KAGERA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTOTO WA JINSIA MBILI YA KIKE NA KIUME AZALIWA MULEBA MKOANI KAGERA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mtoto-wa-jinsia-mbili-ya-kike-na-kiume.html
0 Response to "MTOTO WA JINSIA MBILI YA KIKE NA KIUME AZALIWA MULEBA MKOANI KAGERA"
Post a Comment