Loading...

Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga

Loading...
Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga
link : Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga

soma pia


Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga


Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini (Bongofleva) na Mkurugenzi wa WCB Nassib Abdull almaarufu Diamond Plutnum akimkabidhi ufunguo wa gari  mshindi wa shindano la 'Nogewa Ushinde' ,Mkazi wa ubungo ndugu Bakari Said,ambaye anajishughulisha na biashara ya kuuza mitumba,kwenye hafla fupi ya mabakabidhiano iliyofanyika leo jijini Dar.


 Shindano hilo ambalo limekuwa likiwavutia vijana wengi kutokana na zawadi mbalimbali ziilizokuwa zikitolewa,limedumu takribani mwezi mmoja sasa kupitia bidhaa za Diamond Karanga,anaeshuhudia kulia ni Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Salehe .

Aidha katika hafla hiyo Mshindi Bakari Saidi alieleza kwa ufupi huku akionekana mwenye furaha tele,kuwa yeye anafanya biashara ya kuuza mitumba Ubungo jijini Dar es salaam,amesema pamoja na kuibuka mshindi bado ataendelea kutumia bidhaa hizo,Bakari akaongeza kuwa gari hilo litamkomboa kiuchumi,kwa sababu ni mara yake ya kwanza kumiliki gari,hivyo atalitumia kwa matumizi yake binafsi na baadae anaweza kuchukua uamuzi mwingine wa kulifanyia biashara ili kujiongezea kipato.
Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Salehe akizungumza machache mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kwenye tukio la Muuza Mitumba akikabidhiwa gari yake,baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano la 'Nogewa Ushinde' kupitia bidhaa ya Diamond Karanga,Kushoto ni Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini (Bongofleva) na Mkurugenzi wa WCB Nassib Abdull almaarufu Diamond Plutnum na kulia ni Meneja wa WCB Hamis Taletale almaarufu Babutale.

Meneja wa WCB Hamis Taletale almaarufu Babutale akitoa muongozo wa baadhi ya mambo kwa ufupi kabla ya shughuli nzima ya makabidhiano ya Gari kwa mshindi wa bidhaa ya Diamond Karaga kuanza,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Ofisi za WCB zilizoko Mbezi Beach jijini Dar  


Hivyo makala Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga

yaani makala yote Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/muuza-mitumba-akabidhiwa-gari-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa ushinde' la Diamond Karanga"

Post a Comment

Loading...