Loading...

Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM

Loading...
Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM
link : Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM

soma pia


Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM

 

Na Magdalena Kashindye
Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mussa Swedi Kafana Diwani wa Kiwalani na Mwanasheria Mkuu wa CUF - Maalim, Hashim Bakari Mziray wamejiuzulu uanachama CUF pamoja na nyadhifa zao zote na  kujiunga  CCM. 
Wamedai kuwa, wameamua kuhama kutokana na  Viongozi wa upinzani kuonyesha unafiki na kushindwa kushirikiana.
“Chama cha CUF kina pande mbili zinavutana, na mgogoro huu hauwezi kuisha leo wala kesho kwasababu wanaobishana na kuvutana ni watu wakubwa kwenye chama” amesema Kaffana na kuongeza;

"Migogoro ya chama cha CUF inaweza kuniharibia future yangu kisiasa na uongozi kwa ujumla hivyo kwa dhati ya moyo wangu pasipo kushawishiwa na mtu yoyote ninajivua uanachama na kuachia madaraka ya unaibu meya wa jiji la Dar es salaam pamoja na udiwani"


Kwa upande wake alieykuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho na Wakili wa Mahakama Kuu, Bwana Hashim Mziray amesema kuwa migongano ya pande mbili ndani ya chama hicho imemfanya aachie nafasi zake hizo huku akitaka kujiunga na CCM akidai ndio chama chenye mwelekeo wa kuwaletea maendeleo wananchi wake kupitia kwa Mwenyekiti wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli.


Hivyo makala Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM

yaani makala yote Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mwanasheria-mkuu-wa-cuf-naibu-meya-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwanasheria Mkuu wa CUF, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Wajiuzulu na Kuhamia CCM"

Post a Comment

Loading...