Loading...
title : NEWS ALERT: Ving’amuzi vya AZAM , ZUKU na MULTICHOICE vyatakiwa kuendelea kutoa huduma zao bila mashati yeyote
link : NEWS ALERT: Ving’amuzi vya AZAM , ZUKU na MULTICHOICE vyatakiwa kuendelea kutoa huduma zao bila mashati yeyote
NEWS ALERT: Ving’amuzi vya AZAM , ZUKU na MULTICHOICE vyatakiwa kuendelea kutoa huduma zao bila mashati yeyote
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
WAZIRI wa UJenzi, Uchukuzi na Mawasiliano , Mhandisi Isaac Kamwelwe amewataka watoa huduma wa ving’amuzi vya Azam, ZUKU pamoja na Multichoice kuendelea kutoa huduma zao za maudhui katika vituo vya televisheni bure kwa channel ambazo ziko katika leseni zao bila ya kuweka masharti.
Kamwelwe ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi jijini Dar es Salaam kuhusiana na kadhia iliyojitokeza kwa watoa huduma hao.
Amesema kuwa sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe kwa watoa huduma hao kutokana na masharti ya leseni walizopewa.
Amesema kuwa ving’amuzi vya Azam, ZUKU pamoja na Multichoice havijazuiliwa bali vitaendelea kutumika kwa mujibu wa masharti ya leseni zao walizopewa na mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) Waziri wa Kamwelwe amesema utaratibu wa huduma za utangazaji kwa mfumo wa dijitali ulifikiwa baada ya maridhiano ya muda mrefu na wadau mbalimbali kwa waraka wa mashauriano na wadau hivyo lazima utaratibu uliowekwa uzingatiwe.
Amesema baada ya agizo hilo la serikali tayari Azam wametekeleza hivyo wadau wengine ambao walikuwa hawatoi huduma hiyo waendelee kutoa huduma bure kwa wananchi ili kupata habari katika vituo vya Luninga ambavyo vinatakiwa kurushwa bila malipo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Mhandisi James Kilaba akifafanua jambo kuhusiana na hatua mbalimbali za TCRA itazozichukua kwa ving’amuzi hivyo ikiwa ni pamoja na ukiukaji wa leseni.
Hivyo makala NEWS ALERT: Ving’amuzi vya AZAM , ZUKU na MULTICHOICE vyatakiwa kuendelea kutoa huduma zao bila mashati yeyote
yaani makala yote NEWS ALERT: Ving’amuzi vya AZAM , ZUKU na MULTICHOICE vyatakiwa kuendelea kutoa huduma zao bila mashati yeyote Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: Ving’amuzi vya AZAM , ZUKU na MULTICHOICE vyatakiwa kuendelea kutoa huduma zao bila mashati yeyote mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/news-alert-vingamuzi-vya-azam-zuku-na.html
0 Response to "NEWS ALERT: Ving’amuzi vya AZAM , ZUKU na MULTICHOICE vyatakiwa kuendelea kutoa huduma zao bila mashati yeyote"
Post a Comment