Loading...

PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI

Loading...
PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI
link : PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI

soma pia


PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI

Mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Nane nane na Rais Mstaaafu wa awamu ya tatu,Benjamini Mkapa akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Taasisi ya kusaidia sekta binafsi ya Kilimo nchini (PASS) Killo Lusewa baada ya taasisi hiyo kuibuka kinara wa maonesho hayo kwa taasisi zisizo za Kiserikali,maonesho yaliyofanyika kitaifa mkoani Simiyu.
  Mkurugenzi wa Biashara wa taasisi ya kusaidia Sekta Binafsi katika Kilimo (PASS) akionesha cheti cha ushindi baada ya taasisi hiyo kushika nafasi ya kwanza kwa taasisi zisizo za kiserikali na kukabidhiwa na Rais Mstaafu,Benjamini Mkapa.
Wafanyakazi wa Taasisi ya kusaidia sekta Binafsi katika Kilimo(PASS) wakifurahia mara baada ya kutangazwa washindi wa kwanza  kwa taasisi zisizo za Kiserikali katika maonesho ua nane nane ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Simiyu.



Hivyo makala PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI

yaani makala yote PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/pass-vinara-katika-maonesho-ya-nane.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PASS VINARA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI"

Post a Comment

Loading...