Loading...

RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO.

Loading...
RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO.
link : RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO.

soma pia


RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelewa ofisini kwake na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia na Mwenyekiti wa Michezo Mkoa wa Dar es Salaam ambapo wamefanya mazungumzo ya kuimarisha sekta ya Michezo.

Miongoni mwa mambo waliyozungumzia ni Suala la heshima iliyopata Tanzania kuwa mwenyeji wa Michuano ya Mashindano makubwa ya michezo kwa Jeshi la Polisi katika nchi za mashariki na Kati zikihusisha Nchi Saba ambapo tayari michuano hiyo imefunguliwa rasmi siku ya Jana na Waziri mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Aidha wamezungumzia maandalizi ya mashindano makubwa ya SECAFA Cuf kwaajili ya michuano ya AFCON yakihusisha vijana wenye umri chini ya miaka 17 yanayotaraji kufanyika August 11 Mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa yakijumuisha mataifa 10 Afrika.

RC Makonda amesema michuano yote hiyo itafanyika Jijini Dar es salaam na kwakuwa inahusisha ugeni kutoka mataifa mbalimbali itatoa fursa kwa wananchi wa Dar es salaam hususani wenye hotel, vyakula, usafiri na wafanyabiashara kupata kipato kupitia mashinano hayo.

Kwa upande wake Rais wa TFF Wallance Karia amempongeza RC Makonda kwa jitiada za kuinua sekta ya michezo kupitia ujenzi wa uwanja wa Bandari ambapo amesema wameamua kumuomba ushirikiano kwakuwa wanaamini uwezo ukubwa alionao kwenye kusimamia jambo na kufanikisha.
 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Wallace Karia akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na michuano ya Vijana ya AFCON itakayofanyika mwakani hapa nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari baada ya ujio wa Rais wa TFF Wallace Karia ofisini kwake


Hivyo makala RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO.

yaani makala yote RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/rc-makonda-atembelewa-na-rais-wa-tff.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO."

Post a Comment

Loading...