Loading...
title : RUBANI WA ATCL: ATCL ILILIPIA GARAMA ZA MATENGENEZO YA NDEGE ILIYOKODISHWA
link : RUBANI WA ATCL: ATCL ILILIPIA GARAMA ZA MATENGENEZO YA NDEGE ILIYOKODISHWA
RUBANI WA ATCL: ATCL ILILIPIA GARAMA ZA MATENGENEZO YA NDEGE ILIYOKODISHWA
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
RUBANI wa kampuni ya ndege ya Tanzania, (ATCL), Sadiki Jabez, ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, ATCL ililipia garama za matengenezo ya ndege iliyokodishwa licha ya kwamba matengenezo hayo yalifanywa na kampuni iliyowakodisha.
Jabez ambaye pia ni mkurugenzi muendeshaji wa ATCL na shahidi wa tisa wa upande mashtaka ameeleza hayo leo Agosti 29 wakati akitoa ushahidi wake dhidi ya kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya Sh. Bilioni 71, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustino Rwenzile.
Mattaka anadaiwa kusababisha hasara hiyo kutokana na kusaini mkataba wa kukodi ndege bila kufuata Sheria ya manunuzi ya umma pamoja na ushauri wa kiufundi.
Akiongozwa na wakili wa Serikali, Timon Vitalis, amedai, mwenye jukumu la kutengeneza ndege pale inapokuwa inahitaji marekebisho hujulikana kutokana na jinsi mkataba ulivyoingiwa lakini hakuwahi kuuuona huo mkataba.
Shahidi Jabez amedai mwaka 2007, ATCL ikiwa chini ya mkurugenzi David Mataka ilikuwa na ndege moja, 737 boing.
Amedai, baadae ATCL waliazimia kukodisha ndege airbus 320 kutoka kampuni ya Wallis.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA.
Hivyo makala RUBANI WA ATCL: ATCL ILILIPIA GARAMA ZA MATENGENEZO YA NDEGE ILIYOKODISHWA
yaani makala yote RUBANI WA ATCL: ATCL ILILIPIA GARAMA ZA MATENGENEZO YA NDEGE ILIYOKODISHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RUBANI WA ATCL: ATCL ILILIPIA GARAMA ZA MATENGENEZO YA NDEGE ILIYOKODISHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/rubani-wa-atcl-atcl-ililipia-garama-za.html
0 Response to "RUBANI WA ATCL: ATCL ILILIPIA GARAMA ZA MATENGENEZO YA NDEGE ILIYOKODISHWA"
Post a Comment