Loading...

SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC

Loading...
SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC
link : SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC

soma pia


SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC

Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaofanyika mjini Windhoek, Namibia, kuanzia tarehe 17 hadi 18 Agosti 2018, umemteua Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu Mwenyekiti wa SADC kwa kipindi cha Agosti 2018 mpaka Agosti 2019. 

Kufuatia uteuzi huo, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atapewa rasmi jukumu la Uenyekiti wa SADC katika Mkutano mkuu ujao wa 39 utakaofanyika Tanzania mwezi Agosti 2019. 
Makamu wa wa Rais Mhe .Samia Suluhu Hasan akitoa hutuba ya kushukuru mara baaada ya Tanzania kukabidhiwa Umakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika - SADC katika ukumbi wa Mikutano katika hoteli ya SAFARI COURT ,Windhoek Namibia,leo Jumamosi tarehe 18 Agosti 2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini moja kati ya nyaraka nne za kisheria ambazo ni Tamko la Kutokomeza Malaria katika ukanda wa SADC, Itifaki ya Kulinda Hakimiliki ya Wagunduzi wa aina mpya za Mbegu za mimea katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, itifaki ya ajira na kazi pamoja na Maboresho ya Katiba inayosimamia masuala ya kamati Ndogo ya Wakuu wa Polisi katika Organ.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akiwa kwenye siku ya mwisho ya mkutano wa 38 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliomalizika leo mjini Windhoek Namibia ambapo Tanzania imechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha Agosti 2018 hadi Agosti 2019. 
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini na Mwenyekiti wa SADC aliyemaliza muda, Mhe. Cyril Ramaphosa akikabidhi nafasi ya Uenyekiti kwa mwenyekiti mpya na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Hage Geingob. 
Mwenyekiti wa SADC na Rais wa Namibia, Mhe. Hage Geingob akihutubia mara baada ya kukabidhiwa nafasi ya uenyekiti wa SADC mjini Windhoek, Namibia ambapo aliishukuru Serikali ya Afrika kusini kwa uongozi mahiri kwa kipindi chote cha uongozi wake na aliahidi kushirikiana na wanachama wote katika kuiletea kanda maendeleo na kupunguza umasikini.



Hivyo makala SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC

yaani makala yote SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/sadc-yamteua-rais-dkt-magufuli-kuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SADC YAMTEUA RAIS DKT. MAGUFULI KUWA MAKAMU MWENTEKITI WA SADC"

Post a Comment

Loading...